Jua tarehe, muda na sehemu unapohitaji kuchukuliwa.
Chagua namna unayo penda kulipa na ulipie kwa wakati na utapata risiti yako katika njia utakayoichagua.
Ufikapo kituoni. wakilisha tikiti yako, au ujumbe uliopata wakati unakata tikiti kwa mtoa huduma na uendelee na safari yako vizuri kabisa.